Tetesi: Tsh Bilioni 425 za Mwekezaji zadaiwa kuzuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao

Hata mimi nilipata wawekezaji walikuwa interested kuwekeza Tz toka hapa Russia,ila waliambiwa na "intelijensia" yao waliopo huko Tz kwamba wasubiri kwanza,maana GoT ya awamu hii haileweki.

Kuna tatizo kubwa sana huko Tanzania.
Nafikiria pia kuhamisha biashara zangu ambazo zinahamishika toka huko Tz kwenda Comoro au Ushelisheli.
 
Tanzania kuna Tatizo kubwa kwenye mfumo wa pesa hususani huko BOT ndiyo maana Nchi jirani zinawashawishi wawekezaji wengi wahamie huko ambapo hawana usumbufu kwa wawekezaji
 
Hongera mdau ila usinisahau mdogo wako nikawe hata msimamizi tu wa izo biashara...bongo nyoso balaa mbele hatuoni kabisa tunapokwenda sie tusio na ajira
 
Duuh kama ni hivo basi hali ni tete kuliko maelezo.
Investors kuogopa ni mbaya sana
 
Security hakuna watu wameshtuka ukitofautiana na MTU mmoja au akikuchukia hapa basi anakumaliza kwelikweli na hutopata haki popote kwenyechombo chochote tofauti na mataifa yaliyostaarabika ambamo viongozi wao wanaheshimu katiba,sheria na utu!

Kwasasa siwezi kumshauri mgeni yeyote kuja kuwekeza tz hata marafiki zangu nawashauri wajifunze kuwekeza nchi za nje pia ili wakigeuzwa mashetani wagome vimrudie mtenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…