JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Hii story kwanini itoke leo,kwanini hatukuisikia kipindi Cha uchaguzi?Wakuu,
Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?
Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao.
Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao
Biashara zimeanza kufungwa,na hili linaibuka?kwanini leo?na sio Jana?au ni mwendo wa kuchafuana tu