white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
BOT, mtawalaumu bure tu kwani hawawezi kujiamulia tu, kufanya hujuma hizo pasipo kuwa na mkono wa jiwe!! Yaani watendaji wana wakati mgumu sana, chanzo ni jamaa ila lawama unapewa wewe mtendaji kuwa ndio tatizo, na jamaa akiona hali imekuwa mbaya ili achukue ujiko, anakupiga chini wewe!!! Uonekane ndio kikwazo!! Tofauti na wazungu ndio maana unaona kwenye utawala wa trump, ni viongozi wengi wa juu walikuwa wanajiuzuru kule hawana njaa!! Ila hapa kwetu bora fedheha kuliko njaaTanzania kuna Tatizo kubwa kwenye mfumo wa pesa hususani huko BOT ndiyo maana Nchi jirani zinawashawishi wawekezaji wengi wahamie huko ambapo hawana usumbufu kwa wawekezaji