Tsh m 5

Ipi dot com

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
306
Reaction score
166
Habari wakuu,nahitaji mwenye kujua hili, nataka mkopo wa 5m lakini marejesho yaanze baada ya miezi 6. Mwenye kujua naweza pata wapi anisaidie tafadhari.

Habari wakuu,nahitaji mwenye kujua hili, nataka mkopo wa 5m lakini marejesho yaanze baada ya miezi 6. Mwenye kujua naweza pata wapi anisaidie tafadhari.
Sijui kama kuna institution yoyote itayoweza kukupa grace period ya miezi sita!
Labda ujaribu kucheki na Saccos mbali mbali

Sijui kama kuna institution yoyote itayoweza kukupa grace period ya miezi sita!

Labda ujaribu kucheki na Saccos mbali mbali

asante kwa ushauri

Inategemea unaweka security gani, na je wakati huo wa miezi 6, interest ina generate bt hauirudishi bt ule mwezi wa sita ndio unarudisha pamoja.

Kama uko tAYARI kwa masharti yafuatayo itakuwa sawa:

1. thamani ya Security ya Loan hiyo iwe 3/4 ya Loan.
2. Interest 20% kwa mwezi, kwa miezi sita utakaa na interest and utairudisha mwezi wasaba na nane.
3. Muda ya mkopo uwe miezi nane.

Uko mkoa gani?

Asante nipo dar,asset ni mradi wenyewe (guest) lakini interest kwangu itakuwa juu ingekua 10% na iwe 10 months nipo tayari mkuu

kaka mimi naomba unisaidie hiyo 5 mil. ila nina gari rav 4, naweza kukupa kadi ya gari, thamani ya gari ni zaidi ya millioni kumi, pia nina nyumba jao haina hati. nipo dar es salaam.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…