Ipi dot com
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 306
- 166
Habari wakuu,nahitaji mwenye kujua hili, nataka mkopo wa 5m lakini marejesho yaanze baada ya miezi 6. Mwenye kujua naweza pata wapi anisaidie tafadhari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama kuna institution yoyote itayoweza kukupa grace period ya miezi sita!Habari wakuu,nahitaji mwenye kujua hili, nataka mkopo wa 5m lakini marejesho yaanze baada ya miezi 6. Mwenye kujua naweza pata wapi anisaidie tafadhari.
Riba iwe asilimia ngapi?Habari wakuu,nahitaji mwenye kujua hili, nataka mkopo wa 5m lakini marejesho yaanze baada ya miezi 6. Mwenye kujua naweza pata wapi anisaidie tafadhari.

Sijui kama kuna institution yoyote itayoweza kukupa grace period ya miezi sita!

Labda ujaribu kucheki na Saccos mbali mbali

Riba iwe asilimia ngapi?

Inategemea unaweka security gani, na je wakati huo wa miezi 6, interest ina generate bt hauirudishi bt ule mwezi wa sita ndio unarudisha pamoja.

Kama uko tAYARI kwa masharti yafuatayo itakuwa sawa:

1. thamani ya Security ya Loan hiyo iwe 3/4 ya Loan.

2. Interest 20% kwa mwezi, kwa miezi sita utakaa na interest and utairudisha mwezi wasaba na nane.

3. Muda ya mkopo uwe miezi nane.

Uko mkoa gani?