Sio kila mchora ramani ni Mtaalamu Wa kukadiria.Unataka kutuambia aliekuchorea ramani hakukupa cost estimation; au unajifariji tu
weka raman ili tukupe estimation kwa kuangalia raman husikaSio kila mchora ramani ni Mtaalamu Wa kukadiria.
Na mimi nimeileta hoja yangu hapa kwa kuwa najua kuna watu wenye experience na mambo ya ujenzi, hata kama hawajaingia shule
Asante sana!! Umenipa nguvuKwa ukubwa huo wa nyumba budget mara nyingi hua ni mil 40 au 50 mpaka nyumba ikamilike,inategemea na finishing yako,kwa hiyo pesa unamaliza kila kitu na unahamia ondoa wasi wasi.
Kwanza hongera kwa hatua kubwa,Wadau..ninajenga nyumba mkoani Morogoro ina vipimo vya urefu ni 15 na upana ni 12. Ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala (viwili kati ya hivyo ni self contained), kimoja cha kawaida na sitting na dinning.
Mpaka sasa nimeinua boma hadi kozi ya 10 na mfukoni nina milioni 30. Je, pesa hizi nilizonazo zinaweza kunifikisha wapi?
Naombeni mchanganuo wa kila hatua iliyobaki.
Niseme uongo ili iweje?M30 unazo kweli? Kwa morogoro hata ingepungua tano ungemaliza
Wadau..ninajenga nyumba mkoani Morogoro ina vipimo vya urefu ni 15 na upana ni 12. Ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala (viwili kati ya hivyo ni self contained), kimoja cha kawaida na sitting na dinning.
Mpaka sasa nimeinua boma hadi kozi ya 10 na mfukoni nina milioni 30. Je, pesa hizi nilizonazo zinaweza kunifikisha wapi?
Naombeni mchanganuo wa kila hatua iliyobaki.
Uvimo Maktaba