Wadau..ninajenga nyumba mkoani Morogoro ina vipimo vya urefu ni 15 na upana ni 12. Ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala (viwili kati ya hivyo ni self contained), kimoja cha kawaida na sitting na dinning.
Mpaka sasa nimeinua boma hadi kozi ya 10 na mfukoni nina milioni 30. Je, pesa hizi nilizonazo zinaweza kunifikisha wapi?
Naombeni mchanganuo wa kila hatua iliyobaki.