Son Of Almighty
Senior Member
- Jun 28, 2017
- 133
- 451
Mkuu, inawezekana hujanielewa..Haiwezi, kupaua peke yake ni kama 2.5mil- 3mil kwa size hiyo ya nyumba
Unamaanisha kusimamisha tu boma bila kupaua?Mkuu, inawezekana hujanielewa..
Swali langu, ni je kiasi hicho kinaweza kujenga nyumba yenye specification hizo tajwa? Just a simple house completeUnamaanisha kusimamisha tu boma bila kupaua?
Sijauona Mkuu, naomba tafadhali linkkuna mdau alileta mchanganuo hapa wa ujenzi wa 5 million
Sijauona Mkuu, naomba tafadhali link
Bado unawaza utaanzaje ujenzi? Anza na hii kwa mchanganuo huu
Bado unajiuliza unaanzaje ujenzi? Unaweza kuanza na ramani kama hii ya vyumba vitatu (master, self, na plain bedroom) kujenga. KUJENGA BOMA tofali (jumla) ...... Tsh. 3,100,000 mchanga ......... Tsh. 300,000 saruji ................ Tsh. 1,500,000 kokoto ..................Tsh...www.jamiiforums.com
Haitoshi mzee baba,labda uongeze ifike 7m tena usimamie mafundi haswaaaSwali langu, ni je kiasi hicho kinaweza kujenga nyumba yenye specification hizo tajwa? Just a simple house complete
Mmhh hongera chiefMe kiti tu cha vyumba vitatu vya kulala sebule na sehemu ya chakula imekatika 2M iringa
2 au kuna namba nyuma ya 2 umezisahau?!😳Me kiti tu cha vyumba vitatu vya kulala sebule na sehemu ya chakula imekatika 2M iringa
2 au kuna namba nyuma ya 2 umezisahau?!😳