Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba?

Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba?

Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
Tatizo unaiweka wapi izalishe
 
Tunauza mbao kwa bei za jumla
2*4 fut 12=4400
2*4treated fut 12=4800
1*6 fut 12 = 4400
1*8 fut 12= 8500
1*8 ya fisherboard=9500
1*10=13500
1*10 ya fisherboard= 15000
2*2treated fut 12=2500
2*2 fut 12=2300
2*4treated fut 18=9500
2*6 fut 12=8500
2*6treated fut 18=16000
2*2treated fut 18=5000
2*3 fut 12=3500
1*4 fut 18=4000
1*4 fut 12=2500
Tunafanya delivery popote ulipo kwa Dar-es-salaam ,tunapatikana kwa namba hizi hapa 0759630751,
0654830416,
0687371138
vile vile huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu ..
Ofisi zetu ziko Mbuyuni -Bagamoyo road
 
Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
Wakati huo una familia au hauna?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
Kumbuka 750000 kwa mwaka halafu kama na yeye amepanga?kodi analipa sh. Ngapi na kwa mwaka kodi anatoa ngapi?
Hapo hata save chochote zaidi ya kujikuta anazeeka anakufa anaacha watoto hawana kwao.
 
Habari za jioni wakuu..

Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule?

Simple but classic
Unajenga vyumba 3na sebule kubwa kutegemea na mahali ulipo
 
Mkuu, kama hutojali naomba ufafanue hi hoja yako..

750,000/= kwa mwaka, ina maana mapato kwa mwezi 62,500/= I guess una maanisha niweke kwenye fixed account?
Yani 62,500/- kwa mwezi ina maana kwa siku kipato chako ni chini ya dola moja(TShs 2000/-) how low is this! Hapana ww embu jitathmini walau uongeze kipato kwa siku kisiwe walau hata chini ya 5000 kama hujiwezi kabsa hapo utakuwa na kauwezekano kiduchu kutoboa ili life lasivo masikini watazidi na wenye nazo watabaki nazo.
 
Haiwezi ya matofali labda ya kuchoma vijijini unahamia kabisa
Mkuu inajenga ya tofali za block tena inakamilika kila kitu kasoro top za milango ya vumba tu lakini hiyo oesa anapata nyumba. Ningejua alipo ningempa mafundi wangu wamuoteshee kiota bab kubwa hapo
 
Hatjengi ili kuokoa gharama,Tunajenga ili endapo siku Mungu akakamilisha uumbaji wake kwenye miili yetu basi tuwe na sehemu ya kujisitiri.

Wengi hujiona wazima sasa lakini kuna msemo unasema Hujafa Hujaumbika,ukiukumbuka huo msemo basi hutoita Kujenga ni kuzika Pesa, Hamna aijuae kesho yake Hakuna.

Jenga haraka kadri uwezavyo,hamna mahali imeandikwa ukishajenga ni lazima uhamie hapo kwako,Wengine wamejenga na wanaishi nyumba za kupanga, ni namna tu ya kukokotoa hesabu zako vizuri kichwani.

Tunapoishi tukumbuke kuna kesho pia, biashara zipo lakini hata uwe milionea mwenye kipato cha uhakika kama Huna Nyumba yako basi wewe ni Maskini at any time.
 
Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
hati fungani ama ni sehemu gani hizo?!
 
Yani 62,500/- kwa mwezi ina maana kwa siku kipato chako ni chini ya dola moja(TShs 2000/-) how low is this! Hapana ww embu jitathmini walau uongeze kipato kwa siku kisiwe walau hata chini ya 5000 kama hujiwezi kabsa hapo utakuwa na kauwezekano kiduchu kutoboa ili life lasivo masikini watazidi na wenye nazo watabaki nazo.
Nahisi anaongelea hatifungani, ni poa sana hiyo investment ila inahitaji mtaji mkubwa. The more money you invest the more you profit. Serikali wanakupa max 15% return ya hela uliyo weka kwa mwaka kwa muda wa miaka 5, 10, 15 au 20 max. Mf ukiwekeza 50 ml, itarudi 15% yake 7.5ml kila mwaka kwa miaka let say 15 ni almost ml 112 na ushee.
 
Habari za jioni wakuu..

Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule?

Simple but classic
Kama upo chanika njoo tufanye kazi kwa usimamizi imara na unahamia kabisa,
Gharama za ujenzi huwa zinashuka au kupanda kutegemea na material utakayotaka kutumia,
Kwa mfano kuna tofali za kupigwa na mkono na kuna tofali za mashine.
 
Back
Top Bottom