RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
Inawe a kujenga vyumba vi 3 sebule na choo ndaniHabari za jioni wakuu..
Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule?
Simple but classic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawe a kujenga vyumba vi 3 sebule na choo ndaniHabari za jioni wakuu..
Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule?
Simple but classic
Tatizo unaiweka wapi izalisheWatanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
Ya udongo na makutiMe kiti tu cha vyumba vitatu vya kulala sebule na sehemu ya chakula imekatika 2M iringa
Wakati huo una familia au hauna?Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
Kumbuka 750000 kwa mwaka halafu kama na yeye amepanga?kodi analipa sh. Ngapi na kwa mwaka kodi anatoa ngapi?Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
Unajenga vyumba 3na sebule kubwa kutegemea na mahali ulipoHabari za jioni wakuu..
Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule?
Simple but classic
Haiwezi ya matofali labda ya kuchoma vijijini unahamia kabisaHabari za jioni wakuu..
Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule?
Simple but classic
Yani 62,500/- kwa mwezi ina maana kwa siku kipato chako ni chini ya dola moja(TShs 2000/-) how low is this! Hapana ww embu jitathmini walau uongeze kipato kwa siku kisiwe walau hata chini ya 5000 kama hujiwezi kabsa hapo utakuwa na kauwezekano kiduchu kutoboa ili life lasivo masikini watazidi na wenye nazo watabaki nazo.Mkuu, kama hutojali naomba ufafanue hi hoja yako..
750,000/= kwa mwaka, ina maana mapato kwa mwezi 62,500/= I guess una maanisha niweke kwenye fixed account?
Mkuu inajenga ya tofali za block tena inakamilika kila kitu kasoro top za milango ya vumba tu lakini hiyo oesa anapata nyumba. Ningejua alipo ningempa mafundi wangu wamuoteshee kiota bab kubwa hapoHaiwezi ya matofali labda ya kuchoma vijijini unahamia kabisa
simple but clasic??Habari za jioni wakuu..
Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule?
Simple but classic
hati fungani ama ni sehemu gani hizo?!Watanzania wengi tunazika mitaji/pesa kweny nyumba za kuishi na hazituzalishii chochote zaidi ya kutuongezea gharama. ningekua wewe hiyo pesa naiweka sehemu iwe inanilazishia 750,000 kwa mwaka bila mimi kufanya kazi wala chochote, then naendelea kupanga kwa miaka mingine 5 baada ya hapo ningetumia saving kujenga hiyo nyumba. nikimaliza nakuwa nimebaki na 5M yangu na kipato cha 750k kwa mwaka x miaka 20.
Nahisi anaongelea hatifungani, ni poa sana hiyo investment ila inahitaji mtaji mkubwa. The more money you invest the more you profit. Serikali wanakupa max 15% return ya hela uliyo weka kwa mwaka kwa muda wa miaka 5, 10, 15 au 20 max. Mf ukiwekeza 50 ml, itarudi 15% yake 7.5ml kila mwaka kwa miaka let say 15 ni almost ml 112 na ushee.Yani 62,500/- kwa mwezi ina maana kwa siku kipato chako ni chini ya dola moja(TShs 2000/-) how low is this! Hapana ww embu jitathmini walau uongeze kipato kwa siku kisiwe walau hata chini ya 5000 kama hujiwezi kabsa hapo utakuwa na kauwezekano kiduchu kutoboa ili life lasivo masikini watazidi na wenye nazo watabaki nazo.
Kama upo chanika njoo tufanye kazi kwa usimamizi imara na unahamia kabisa,Habari za jioni wakuu..
Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule?
Simple but classic