Tshabalala abadilike, Simba mlijue hili mapema

Tshabalala abadilike, Simba mlijue hili mapema

Acha wivu wa kike,Shabalala linapokuja swala la kukaba ni uchochoro na sio msimu huu tuu
Tangu amelazimishwa na ilove you wake kwenda kutumbua vimishahà vyake huko DUBAI sasa hivi anajiona ni wa kimataifa sana!!! na ndicho kilichomponza , angejiweka kwenye kundi linalomstahili asingefanya ujinga huo yawezekana kioo kinamdanganya. Akijiangalia kwenye kioo anajiona mkubwa kuliko uhalisia
 
Upo sahihi sana,ila usisahau kama taifa hatuna namba sita wa maana na hata simba ndio shida ilipo.Huwezi mtegemea mkude,mzamiru,kapama,na Akpan utegemee usifungwe
Nakubaliana na wewe lakini hivi karibuni amekuwa akivuja sana ukabaji wake. Ili sasa afanye vzr inabd awe na mtu wa kucover iwapo akipandisha mashambulizi. Someone to track back. Sakho harudi kuja kumsaidia muda wote kipindi cha HD angalau huwa anarudi kucover nafasi ya zimbwe akienda kushambulia. Lakini pia SImba ya Quattara na Inonga tutegemee kufungwa sana labda wabadilike namna ya kukaba inaoneakna inonga akipanda kidogo na quattara naye anapanda. Inabdi wawasiliane sana
 
Tujikumbushe na hii. Huo uchochoro
 
Attachments

  • 5050522-301f623a4d04d3a043600aa245fbe55a.mov
    1.2 MB
Tangu amelazimishwa na ilove you wake kwenda kutumbua vimishahà vyake huko DUBAI sasa hivi anajiona ni wa kimataifa sana!!! na ndicho kilichomponza , angejiweka kwenye kundi linalomstahili asingefanya ujinga huo yawezekana kioo kinamdanganya. Akijiangalia kwenye kioo anajiona mkubwa kuliko uhalisia
Inaonekana safari yake ya Dubai imekuuma sana. Tutafute pesa ndugu yangu acha makasiriko.
 
Ngoja wenye timu yao waje kukufokea!

Wao siku zote ni kufoka tu, hata ukitoa ushauri wenye maudhui ya kujenga.
Huo ushauri ungeanza kwa utopolo yako kwanza, inayopigwaga nje ndani CAFCL. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua soka dogo???au ndo umeanza kushabiki leo??!!...
 
Uganda national timu hatuwawezi ila kwenye vilabu mabwege tu
Kwenye vilabu sisi tunategemea wachezaji wa nje.
Kwa wachezaji wa ndani sisi ni mabwege tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tangu amelazimishwa na ilove you wake kwenda kutumbua vimishahà vyake huko DUBAI sasa hivi anajiona ni wa kimataifa sana!!! na ndicho kilichomponza , angejiweka kwenye kundi linalomstahili asingefanya ujinga huo yawezekana kioo kinamdanganya. Akijiangalia kwenye kioo anajiona mkubwa kuliko uhalisia
Wacha wivu dada na wewe mwambie mumeo akupeleke Dubai. Mtu katumia hela yake kwenda kutalii na mkewe wewe unaumia kwa nini?
 
Tshabalala anashida moja mzuri kuattack likija suala la kujilinda ni uchochoro. Akicheza na winga sio wa kurudi kuja kumsaidia tutaumia sana mechi za CAF

Quattara mzuri wanasimba wasiwe na shaka naye ajirekebishe tu kwenye pace ni mzito fulani Goli la Jana na KOTOKO walitegeana yeye na INONGA. Wawasiliane sana wanapodefence.

DEJAN sio mzuri hata kidogo. Yule mzungu yupo ISOLATED sana SIMBA inapocheza. Hili waliangalie kwa mapama....bila chama SIMBA haitembeiii kabisa
Point nzuri. Ila ukumbuke mpira Una mda wake.

Huenda Sasa ni wakatii wa zimbwe kupumzika.na kucheza game nyepesi..

Kiwango chake kimeshuka. Nafikiri hata kapombe misimu miwili ijayo atakuwa siyo huyu tunayemwona
 
Back
Top Bottom