ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Mwacheni afurahishe umma yule si kama Mandonga tu.Mzungu ni mzigo sema kama mashabiki wa simba tunakaza fuvu tu, ila viongozi wanazingua sana kukaa na huo mzigo
Tangu amelazimishwa na ilove you wake kwenda kutumbua vimishahà vyake huko DUBAI sasa hivi anajiona ni wa kimataifa sana!!! na ndicho kilichomponza , angejiweka kwenye kundi linalomstahili asingefanya ujinga huo yawezekana kioo kinamdanganya. Akijiangalia kwenye kioo anajiona mkubwa kuliko uhalisia
Zolan Mark wachezaji aliowaleta ni wazito mno Derjan mzito,Oatara ndo ana karibu tani 10.
Nakubaliana na wewe lakini hivi karibuni amekuwa akivuja sana ukabaji wake. Ili sasa afanye vzr inabd awe na mtu wa kucover iwapo akipandisha mashambulizi. Someone to track back. Sakho harudi kuja kumsaidia muda wote kipindi cha HD angalau huwa anarudi kucover nafasi ya zimbwe akienda kushambulia. Lakini pia SImba ya Quattara na Inonga tutegemee kufungwa sana labda wabadilike namna ya kukaba inaoneakna inonga akipanda kidogo na quattara naye anapanda. Inabdi wawasiliane sana
Inaonekana safari yake ya Dubai imekuuma sana. Tutafute pesa ndugu yangu acha makasiriko.Tangu amelazimishwa na ilove you wake kwenda kutumbua vimishahà vyake huko DUBAI sasa hivi anajiona ni wa kimataifa sana!!! na ndicho kilichomponza , angejiweka kwenye kundi linalomstahili asingefanya ujinga huo yawezekana kioo kinamdanganya. Akijiangalia kwenye kioo anajiona mkubwa kuliko uhalisia
Huo ushauri ungeanza kwa utopolo yako kwanza, inayopigwaga nje ndani CAFCL. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja wenye timu yao waje kukufokea!
Wao siku zote ni kufoka tu, hata ukitoa ushauri wenye maudhui ya kujenga.
Zimbwe analigharimu taifa
Kwenye vilabu sisi tunategemea wachezaji wa nje.Uganda national timu hatuwawezi ila kwenye vilabu mabwege tu
Hakika watuachie Mzungu wetu, ameongeza umaarufu wa brand ya Simba.Mwacheni afurahishe umma yule si kama Mandonga tu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Wacha wivu dada na wewe mwambie mumeo akupeleke Dubai. Mtu katumia hela yake kwenda kutalii na mkewe wewe unaumia kwa nini?Tangu amelazimishwa na ilove you wake kwenda kutumbua vimishahà vyake huko DUBAI sasa hivi anajiona ni wa kimataifa sana!!! na ndicho kilichomponza , angejiweka kwenye kundi linalomstahili asingefanya ujinga huo yawezekana kioo kinamdanganya. Akijiangalia kwenye kioo anajiona mkubwa kuliko uhalisia
Point nzuri. Ila ukumbuke mpira Una mda wake.Tshabalala anashida moja mzuri kuattack likija suala la kujilinda ni uchochoro. Akicheza na winga sio wa kurudi kuja kumsaidia tutaumia sana mechi za CAF
Quattara mzuri wanasimba wasiwe na shaka naye ajirekebishe tu kwenye pace ni mzito fulani Goli la Jana na KOTOKO walitegeana yeye na INONGA. Wawasiliane sana wanapodefence.
DEJAN sio mzuri hata kidogo. Yule mzungu yupo ISOLATED sana SIMBA inapocheza. Hili waliangalie kwa mapama....bila chama SIMBA haitembeiii kabisa