Tshabalala ana ukaribu na mapenzi makubwa na watu wa Yanga

Hujui MPIRA Hujui Fair pray.

Ukiwa MKRISTO Haimaanishi uwachukie WAISLAMU.

Ukiwa mfupi Haimaanishi uwachukie warefu.

ACHA USHAMBA NA MPIRA WA KIZAMANI DOGO.

FICHA UJINGA
 
Hujui MPIRA Hujui Fair pray.

Ukiwa MKRISTO Haimaanishi uwachukie WAISLAMU.

Ukiwa mfupi Haimaanishi uwachukie warefu.

ACHA USHAMBA NA MPIRA WA KIZAMANI DOGO.

FICHA UJINGA
Nahesabu mashabiki Wenye akili ninaoweza kuargue nao.
Wewe 1.
Naendelea.....
 

Mpira umeanza kushabikia ukubwani
 
Umepost ujinga.
 
Simba mchunguzeni mchezaji huyu mtakuja kunishukuru

Mchezaji akichoka tu ndio mnamhusisha na MABINGWA WA NCHI
 
Usichokijua na nadhani na Ushamba ( Ugaigai ) ulionao Unachangia hujui kuwa Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na Fiston Mayele muda mwingi wakiwa Off Camp huwa wanakuwa na Matajiri na Wachezaji Waandamizi wa Simba SC.

Kuna Siku Fiston Mayele anashinda kwa Henock Inonga na kutumia hadi Gari lake na hivyo hivyo pia Henock Inonga hufanya kwa Fiston Mayele.

Nenda pale Mikocheni katika zile Appartments za Palm Village anakoishi Khalid Aucho wa Yanga SC kisha uone anavyokuwa pale huwa anakuwa na Watu gani maarufu wa Simba SC ila akiwa nao Uwanjani anakiwasha na kukichafua kweli kweli katikati ya Dimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…