Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahesabu mashabiki Wenye akili ninaoweza kuargue nao.Hujui MPIRA Hujui Fair pray.
Ukiwa MKRISTO Haimaanishi uwachukie WAISLAMU.
Ukiwa mfupi Haimaanishi uwachukie warefu.
ACHA USHAMBA NA MPIRA WA KIZAMANI DOGO.
FICHA UJINGA
Nimemuona Tshabalala kwenye mechi ya Team Kibwana vs Team Job ingawa wapo baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwemo Israel Mwenda na Mzamiru Yassin.
Hata hivyo nimeona pia kwenye page ya engineer akipost picha yake akiwa dimbani na akamcopy Tshabalala.
Mtu yeyote aliyesoma sheria ya ushahidi anajua what is circumstantial evidence.Au wale wambea wanaojua kulinganisha doti watakubaliana na mm kuwa kuna kitu kati ya Tshabalala na watu wa utopolo.
Ndio maana ukimuuliza Tshabalala wachezaji anaowakubali utasikia Msuva, Mkude anayedaiwa kutaka kwenda Yanga, Mayele, Diara, Aucho nk.
Simba mchunguzeni mchezaji huyu mtakuja kunishukuru.
Umepost ujinga.Nimemuona Tshabalala kwenye mechi ya Team Kibwana vs Team Job ingawa wapo baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwemo Israel Mwenda na Mzamiru Yassin.
Hata hivyo nimeona pia kwenye page ya engineer akipost picha yake akiwa dimbani na akamcopy Tshabalala.
Mtu yeyote aliyesoma sheria ya ushahidi anajua what is circumstantial evidence.Au wale wambea wanaojua kulinganisha doti watakubaliana na mm kuwa kuna kitu kati ya Tshabalala na watu wa utopolo.
Ndio maana ukimuuliza Tshabalala wachezaji anaowakubali utasikia Msuva, Mkude anayedaiwa kutaka kwenda Yanga, Mayele, Diara, Aucho nk.
Simba mchunguzeni mchezaji huyu mtakuja kunishukuru.
Usichokijua na nadhani na Ushamba ( Ugaigai ) ulionao Unachangia hujui kuwa Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na Fiston Mayele muda mwingi wakiwa Off Camp huwa wanakuwa na Matajiri na Wachezaji Waandamizi wa Simba SC.Nimemuona Tshabalala kwenye mechi ya Team Kibwana vs Team Job ingawa wapo baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwemo Israel Mwenda na Mzamiru Yassin.