Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Ule Uchaguzi uliotokea kwanza miaka mitano iliyopita Tshisekedi hakushinda.
Alipata urais kwa hisani ya Joseph Kabila.
Kanisa Katoliki lilisema "kesho tutamtangaza mshindi wa Uchaguzi.' Halafu hilo tangazo halikufanyika kwa sababu Papa Francis alitoa maagizo Kanisa lisiingilie mambo ya siasa.
Halafu Tshisekedi mwenyewe alisema hakushinda Uchaguzi.
Lakini baada ya impasse (sintofahamu)ya siku chache,Tshisekedi akatangazwa kuwa president elect.