Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Duh..Ule Uchaguzi uliotokea kwanza miaka mitano iliyopita Tshisekedi hakushinda.
Alipata urais kwa hisani ya Joseph Kabila.
Kanisa Katoliki lilisema "kesho tutamtangaza mshindi wa Uchaguzi.' Halafu hilo tangazo halikufanyika kwa sababu Papa Francis alitoa maagizo Kanisa lisiingilie mambo ya siasa.
Halafu Tshisekedi mwenyewe alisema hakushinda Uchaguzi.
Lakini baada ya impasse (sintofahamu)ya siku chache,Tshisekedi akatangazwa kuwa president elect.
Hivi kila kiongozi alishawahi kuishi Tz ni kweli? hata Putin wa Russia, au ni ushamba wa watanzania kujipendekeza kwa kila kiongozi wa dunia.Duh..
Joseph Kabila aliwahi kuishi Tanzania, so atakuwa anajua, na akaamua kuiga janja janja ya timu mboga mboga
Huyo putin unajua wewe. Mimi nimeongelea Joseph Kabila..Hivi kila kiongozi alishawahi kuishi Tz ni kweli? hata Putin wa Russia, au ni ushamba wa watanzania kujipendekeza kwa kila kiongozi wa dunia.
Museveni, Samora hao kwa uchacheHivi kila kiongozi alishawahi kuishi Tz ni kweli? hata Putin wa Russia, au ni ushamba wa watanzania kujipendekeza kwa kila kiongozi wa dunia.
Kabila baba na huyo mwanae wa kuasili,wote waliishi Tanzania,Tena kabila mtoto ndo kasoma kabisa sekondari za Tanzania na kiswahili chake kimenyooka,Tanzania ilikua Kambi ya wapigania uhuru sub Saharan,so usione wivuHivi kila kiongozi alishawahi kuishi Tz ni kweli? hata Putin wa Russia, au ni ushamba wa watanzania kujipendekeza kwa kila kiongozi wa dunia.
Putin inasemekana alikuwa mkufunzi kwa wapigania Uhuru hapa Afrika. Ingia Google.Hivi kila kiongozi alishawahi kuishi Tz ni kweli? hata Putin wa Russia, au ni ushamba wa watanzania kujipendekeza kwa kila kiongozi wa dunia.