O OkSIR Senior Member Joined Jun 3, 2009 Posts 108 Reaction score 1 Jun 8, 2009 #1 Hello dears;nafurahi kuwa nanyi kutoa maoni na mawazo yatakaowezesha kusihi kwa amani na upendo .....nawatakia kila la kheri nawapenda wote rgds oksir
Hello dears;nafurahi kuwa nanyi kutoa maoni na mawazo yatakaowezesha kusihi kwa amani na upendo .....nawatakia kila la kheri nawapenda wote rgds oksir
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jun 8, 2009 #2 Na mimi nakupenda
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Jun 8, 2009 #3 karibu ila naomba tupendane si kunipenda..