TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hiyo mb 400 natumia ndani ya siku moja tu... Hamjanishawishi kurudi hapo
 
Na sisi wa ubiruko huku mtuletee hata hiyo H+ tufaidi
 
MCHONGO WA WIKIENDI:
Furahia wikiendi yako ukiwa na Jiachie kutoka TTCL, pata dakika, SMS na MB kibao.
# RudiNyumbaniKumenoga


 
Hii inamaanisha kwa mwezi ni elfu 40!

Sasa si heri nibakie kwenye hii mitandao ya mabeberu tu?

Huku ndo mnatuambia turudi nyumbani kumenoga?

Yaani kunoga kwa kuchunana namna hii?
Wameshindwa kutumia gap lililopo kufanya biashara...

Voda ukiwa katka baadhi ya mikoa una kula 1Gb kwa wiki kwa 1500/- na madakika kedekede na masms...

Airtel vivyo hivyo

Halotel... Buku kwa 1Gb kwa week...

Sasa una kuja kunogesha 10gb kwa week...

Ebu pambaneni labda ina walipa maradufu... Ila kama haiwalipi waangalie namna iliyo bora kuwin hili soko
 
UZINDUZI:
TTCL na wadau wengine wazindua huduma ya Tiketi mtandao.
Pakua App ya Tiketi Mtandao kwa playstore au App store kisha lipia kwa T-PESA
#RudiNyumbaniKumenoga
#TPesa
#NafuunaSalama


 
Mkuu Airtel hii hii nayo ijua mimi au Airtel rapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…