TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Kuna namna nimeweka line yenu pembeni! Zantel wapo vizuri kwa sasa kwenye bundle za internet.
 
wezesha kiongoz au nipe njia ila kitu kingne mnajisahau sana yaani unakaa siku tatu 4 haujapita jf vp
 
Wanaboa sana, ukifika tuu hapo chanika hawana tofauti na konokono kwa speed ya Internet sasa huko mikoani sijui inakuwaje
 
Halotel... Buku kwa 1Gb kwa week...
Ndiyo maana nimeshangazwa na hii kampuni kuwa na wateja wengi ghafla namna hii.
===
Nina imani kampuni yetu ya kizalendo italiangalia kwa umakini hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…