TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Internet ya hawanjamaa haiko vibaya sana mpaka vijijini nastreem seheme ambayo mitandao mingine haipatikani.

Ila ukweli wako nyuma kimasoko hii ndo shida ya serikali kufanya biashara. Wasubiri ruzuku hazina ndo wafanye kazi wakati wenzao nimkupress tu button ela ya kazi inapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…