TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Option ya kununua bando tam tam kwenye T Pesa mbona mmeitoa sasa. Hapa tu ndio tunagombanaga na nyie. Na mtakuwa mmeitoa makusudi
 
Kwa hiyo mlikua mnatupiga beat la kupandisha bei ya vifurushi.
Ila hongera kwenu TTCL Customer Care
 
Network coverage yenu Mbezi Malamba mawili aishiki! Ongezeni minara basi, yaani Mbezi tu hapo mpaka upande juu ya mwembe ndio upate mtandao!
 
Mtandao wenu mbovu sana, uko kiasiasa zaidi, hauna ushirikiano, sms zenu mwisho characters 160, upumbavu mtupu. Sijui mmekuja kushindana na nani? Au ndio mmedhamiria kuitia hasara serikali ya mama yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…