Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mbona kwangu napata GB 2 tu?Hii unajiunga kwa kupitia eatel money ni ya siku 3 ila siku tatu zao ni kama siku nne hivi
Hebu iweke sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kwangu napata GB 2 tu?Hii unajiunga kwa kupitia eatel money ni ya siku 3 ila siku tatu zao ni kama siku nne hivi
Gb 2 kwa siku 3!!!! Unajiungia eatel money!!!! Hujaelewa mpaka hapo boss?Mbona kwangu napata GB 2 tu?
Hebu iweke sawa
kweli ticha ila tatizo speed sasa, voda kwa internate wapo vizur sana ndo mana wanaringa.Kwa airtel 3GB unapata kwa TZS. 2,000
Dar boss tena uswaihilini gongo la mbotoUpo mkoa gani Dar bado 1. 2GB kwa 3000
Ndio maana pengine mkuu huku pande nilipo bado ni 1. 2Gb kwa 3000Dar boss tena uswaihilini gongo la mboto
Nikiona watanzania mnavyo sifia makampuni ya mabepari wakakati kampuni ya kizawa TTCL ipo tu kwa muda mrefu na ufanisi hafifu, na watumishi wake wa kizawa ila hawaoni umhim wa kufanya maboresho chap chap ili kuteka soko, najisikia vibaya saana.Usije ukarogwa ukaingia mkenge.
Hizo GB 4 .usishangae ukawekewa limit mchana tumia GB 1 zingine utumie usiku
Siriazi?Siku ya tatu leo napambana kuhamisha kiasi cha pesa kutoka tigo pesa kwenda T-pesa bila mafanikio ila kwenda mitandao mingine huduma kama kawaida, nini tatizo?
100% mkuuSiriazi?
Kanungila Karim uje kumhudumia mteja huku, unakaakaa tu ofisini huku uking'atang'ata kizibi cha peniKwann nikinunua Bando la internet kupitia *148*30*35# bando la mwezi,linakataa...?!
Habari yako, je wewe ni mwanachuo?Kwann nikinunua Bando la internet kupitia *148*30*35# bando la mwezi,linakataa...?!
YapHabari yako, je wewe ni mwanachuo?
Tafadhali, tuma inbox namba yako ya TTCL pamoja na kitambulisho kwa msaada zaidi.