TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hii kampuni ingeuzwa tu, hamna wanachokifanya kuna mkoa flani ni kama kampuni ya familia ukiingia ofisini wanaongea kikabila chao tu boss hadi anaefagia wote kabila moja.
Hamna biashara hapo.
Kuna ofisi wamejaa wapare tu...baba manager binti naye ameajiriwa..lol
 
IMG_6989.jpg

Nikaiweke chooni ndio dawa yao hawa
 
Kwa hiyo nandy akipiga show
Huduma,kasi ya mtandao wenu
Utakuwa bab kubwa au siyo

Ova
 
Hiyo pesa mngetumia kuongeza coverage ya net yenu,dar kuna maeneo hamna net yenu,then mnaenda kutumia pesa kwenye mambo ya kijinga!
 
Tupo tayari kukuhudumia.
Karibu sana.
TTCL NANDY FESTIVAL 2021
#RudiNyumbaniKumenoga
#WatakaaTu

199944133_4027566930630898_1597806394082257467_n.jpg
 
Back
Top Bottom