TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hii kampuni ingeuzwa tu, hamna wanachokifanya kuna mkoa flani ni kama kampuni ya familia ukiingia ofisini wanaongea kikabila chao tu boss hadi anaefagia wote kabila moja.
Hamna biashara hapo.
Kuna ofisi wamejaa wapare tu...baba manager binti naye ameajiriwa..lol
 
Halafu kama vifurushi vinaisha haraka sana kuliko mitandao mengine

Hawa ni tatizo sugu katika nchi hii yaani pamoja na ruzuku wanayopata kutoka serikalini lakini hawajielewi
 
Kwa hiyo nandy akipiga show
Huduma,kasi ya mtandao wenu
Utakuwa bab kubwa au siyo

Ova
 
Hiyo pesa mngetumia kuongeza coverage ya net yenu,dar kuna maeneo hamna net yenu,then mnaenda kutumia pesa kwenye mambo ya kijinga!
 
Tupo tayari kukuhudumia.
Karibu sana.
TTCL NANDY FESTIVAL 2021
#RudiNyumbaniKumenoga
#WatakaaTu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…