TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Tembelea Vituo vyetu vya Huduma kwa Wateja ujipatie Mi-Fi yako kwa huduma Bora za Intaneti.
# RudiNyumbaniKumenoga

 
Aya mtushawishi wananchi yani 110,000
Uku vodacom wanauza 75,000 na free GB 50 zakuanzia mwezi wa kwanza
 
Ni maeneo gani ya Dar es Salaam hii huduma inafanya kazi?
Ndugu mteja asante kwa swali lako.
Huduma hii inapatikana maeneo yote ya Dar es Salaam.
Karibu dukani kwetu ujipatie Mi-Fi yako yenye spidi ya 4G.
-WM
 
Ndugu mteja asante kwa swali lako.
Huduma hii inapatikana maeneo yote ya Dar es Salaam.
Karibu dukani kwetu ujipatie Mi-Fi yako yenye spidi ya 4G.
-WM
Tuwekee maelezo au link ya bando za internet ili tujue na matarajio kwenye hiyo Mi-Fi
 
Furahia wikiendi yako ukiwa na Modem ya TTCL yenye kasi zaidi.
Tembelea kituo chetu cha huduma kilichokaribu nawe ili ujipatie yako.
#RudiNyumbaniKumenoga

 
Aisee mimi pia nilipatwa na hii changamoto, ni mwezi unakaribia kuisha sasa bila kupata mrejesho wowote. Mara mbili kila nikikaangua vocha zao namba hazionekani, niliwapigia simu wakaniambia wanashughulikia lakini mpaka leo kimya.
 
TTCL inahujumiwa Au Kuna watu humo ndani Wanaigujumu ikose mapato,Yaende makampuni binafsi,
Kwanini Tangu jana Mtandao wa Internet uko Very very low?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…