TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Vifurushi vyenu mvipitie upya.
Shughulikeni na wataalamu wenu wa masoko mpate wateja wengi zaidi. Tumechoka gharama za Vodacom.
Boresheni utendaji
Mashirika ya serikali n sikio la kufa mkuu

Hawalipi Kodi lakn vifurush vipo ghal San

Hawa hawana KPI za kazi wanajifanyia hakuna wa kuwasumbua mshahara mwisho wa mwez upo palepale

SERIKALI IWAWAKEE MALENGO WASIPOFIKISHA WATIMULIWE

hapa mtaan kupata vocha ya ttcl n Kaz

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Voda wenyewe kifirushi cha siku tatu n 1.2 gb dak 100 all net na 300 sms. Sasa si bora nikaunga cha voda mara mbili, yan kikiisha cha kwanza naunga kingne ili nitimize 2000 yenu, ila hapa nitakuwa nmepata 2.4 Gb. Asee. Voda wanawakanyaga za vichwa tu.

Kifurushi cha kawaida voda japo ni special offer 1000tsh napewa 1.7 gb dak 100 na sms 10. Imagineeeee😀😀
 
Haya mambo achaneni nayo. Mnatumia kodi zetu ku subsidize ujinga wenu. Mmejana hapo ma UVCCM na hamna cha maana mnafanya
 
Kwa gharama nafuu za internet hakuna anayemkaribia halotel......
 
Kwa hili bundle la chuo ...mmefel yaani halotel, Airtel, zantel ni bora zaid tena kwenye ma bundle ya kawaida kaeni mjipange upya
 
Customer service muwe mnapokea simu!
Wakipokea unasikia "...mtu wa kukusaidia kwenye hili hayupo maana yeye ndiye alikwenda kusomea China labda akirudi atakupigia..."
 
Hata JF naweza ingia kwa kutumia simu hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…