Mkuu hii hata mimi wamenishawishi.Mnazidi kupanogesha nyumbani. Tutarudi
Huu ubunifu mzuri.
Mkiendelea hivi na huduma zenu zikiwa bora mtapambana sokoni.
Msiwe kama mtandao wa VietCong ule kumpata mtu wa customer care kwa simu ni ngumu kama kukutana na malaika uso kwa uso. Wengi tumetupa SIM card zao.
Niko salama mkuu.Ku maintain huduma kwa wateja ni tatizo la kitaifa. Na hapo ndio siri ya kufanikiwa kwenye biashara ilipo. Hapa watanipata mkuu, ila huduma ikiwa mbovu wataambulia hiyo ya kununua simu tu, wakati wanaweza kutafuna airtime kwa muda usiojulikana kutokana na matumizi yangu.
Uko salama lakini mkuu? ID yako tu hua inanikumbusha Engineering Science, ilinisaidia sana, nilivyoenda A level nilikua mnyama wa topic ya Mechanics.
Niko salama mkuu.
Kwenye ku-resolve force ulikuwa unateleza tu.
1Inatumia line ngapi?
Mambo madogo kama yapi mkuu?Acha kabisa, angular motion, turning force , Projectile motion...nilikua najiona kama mdogo wake Newton. Ila Chemistry ilikua inanikimbiza hatari japo niliambulia banda.
Hawa TTCL wana kila sababu ya kufanya vizuri, warekebishe tu mambo madogomadogo wataliteka hili soko.
Kwa mfano hii simu mie ntaitumia zaidi kama wireless router/ modem.
🤣Huu ubunifu mzuri.
Mkiendelea hivi na huduma zenu zikiwa bora mtapambana sokoni.
Msiwe kama mtandao wa VietCong ule kumpata mtu wa customer care kwa simu ni ngumu kama kukutana na malaika uso kwa uso. Wengi tumetupa SIM card zao.
Mambo madogo kama yapi mkuu?
Shukran sanaCustomer care, upatikanaji wa huduma maeneo mengi nchini, kuboresha vifurushi, kudumisha na kuendeleza ubunifu kama huu wa hizi simu.
Nataka kujua mfano kuna sehemu mtandao unashika E hamna h+ hii kitu inaweza fanya kazi
SIFA ZAKE:
[emoji736]Spidi ya 4G[emoji91]
[emoji736]Inaunganisha watu zaidi ya 10
GHARAMA:
[emoji736]Bei ni Tsh 110,000/= tu.
MADUKA YETU:
Tembelea Vituo vyetu vya Huduma kwa Wateja ujipatie Mi-Fi yako kwa huduma Bora za Intanet
InasapotiNataka kujua mfano kuna sehemu mtandao unashika E hamna h+ hii kitu inaweza fanya kazi
*148*30#Niliisusaine ya ttcl sasa nataka kutumia nimeshasahau hata codes zao. Naomba mziweke hapa nirudi nyumbani fastaa