TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Mnachojua ni kuuzia tu watu vitu ila kuboresha huduma zenu hakuna.bure kabisa.
 
Ok mpo porini huko na wanakijiji
 
Kuna za 100k na za 150k


Ukinunua za 150k ndio bora zaidi.
Zina sifa hii
WiFi
SMS
Kupiga simu
Intenet
Yaani Simu ina sifa ya kupiga Simu ?
Fantastic!!!!!!

Naomba kuelimishwa.., Kuna simu haina hii sifa ?

By the way kwahio hizi zina namba za landlines ? Yaani sio Mobile Phone yaani ninajua kabisa fulani yupo sehemu fulani au na zenyewe kila kitu ni kama mobile tofauti ni ukubwa tu ?
 
TTCL VIPI BARAKOA?HATA KAMA MMECHANJA BARAKOA NI MUHIMU KWETU NA KWA WATEJA!
 
Huu mtandao ni shida nimenunua laini juzi kwenye taarifa za usajili kunatokea jina langu kwenye TPesa linatokea jina la mtu mwengine.Nawaambia hawana jibu nazungushwa tu.Nasubiria wiki hii ikiisha tu sijapatiwa ufumbuzi jambo langu najitoa kutumia laini yenu narudi halo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…