TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Mkuu, nicheki WhatsApp kwa namba hii 0738151511
kwa Nini mnapandisha vifurushi sawa na mabepari wengine wa Mitandao. Buku 2 kwa gb1 sio halali maana buku 2 inapatikana kwa shida, wakati gb 1 inaisha fasta. Nadhani mngefanya kivywenu Ili kuwe na urahisi wa vifurushi mpate wateja wengi. Sasahivi watu wengi watawahama
 
Policy inayoendesha ttcl kwa ilishapitwa na wakati toka shirika linanzishwa ninkikoloni ibadilike ili ingie kwenye ushindani wa kibiashara wa kisasa policy ya kihenga wafanyakazi wake kwa asilimia kubwa wahenga na baadhi yako hujiona bila wao ttcl haisongi
 
Huu mtandao wamejaa wazee tupu kwahiyo hakuna msaada wowote.
Huu mtandao hapana. Mitandao km hii ya ovyo hutakiwi kuitumia
TTCL wangempa mafuru awe director,, mafuru yule aliipaishaga vodacom kipindi akiwa marketing manager wao,,
Au mchechu yule alikua NHC
 
Ha ha ha, yaani vocha zao inatakiwa ukwangue taratibu na bila kutumia haraka, au la unepoteza hela, ishanitokea sana, kama sio uzalendo ningeshatupa line
 
Unataka kula maisha? Basi piga *148*30# ujionee raha ya maisha kupitia vifurushi vyetu mbalimbali.
Peruzi mitandaoni ukiwa na kifurushi bomba kutoka TTCL.
Piga *148*30# ili kujiunga na kifurushi cha T CONNECT PLUS.
#RudiNyumbaniKumenoga

Ati Unataka kula maisha..🀣🀣
 
Huu mtandao sijui ukoje,unaweza kuweka mkono ki style flan internet inashuka ukigeuka upande wa pale tu internet inapotea.

Shida Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…