TTCL MNAONGOZA KWA HUDUMA MBOVU YAANI SIJAWAHI KUONA
1. Vocha zinakwanguka na kupoteza namba kirahisi sana (nimepata hasara mara kadhaa kwa hili)
2. Huduma kwa wateja nayo ni mbovu sana, unapiga simu juu ya changamoto ya vocha kufutika Ili uwatajie serial namba wakujazie kama mitandao mingine muda huo huo unaambiwa baada ya masaa 24 (ikifika muda hujaziwi inabidi upige tena)
3. Kuunga vifurushi nayo changamoto (utadhani lazima mjuane ndio baadhi ya huduma update)
4. Kutuma meseji lazima urudie mara mbili ndio ikubali