TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Ni dhahiri kabisa TTCL inahujumiwa meneja masoko TTCL achunguzwe ikibidi afukuzwe kazi!

Hili shirika ni dhahiri linahujumiwa kwa maksudi, ni aibu kwa shirika kama hili ambalo linatumia mabilioni ya walipa kodi kusimika mitambo nchi nzima halafu kuwepo kwa mambo ya ajabu hivi

Hivi mnajua kuwa TTCL ndo mtandao ghali zaidi Tanzania kwa sasa? Wakati wenzao wanauza gb kwa 1200 hadi 1300 wao wanauza gb kwa 1600

Vifurushi vyao ni ghali sana, sio dakika sio sms, hawa walitakiwa wawe na unafuu kidogo ili watu watumie kwa wingi then mapato yapatikane.

Nasema haya kwasababu, serikali imetumia mabilioni ya pesa kulilifua hili shirika lakini wayafanyayo hayastahili kabisa

Halafu pamoja na kuenea karibu nchi nzima, meneja masoko hana mpango wowote wa kufanya promo kama yafanyavyo makampuni mengine,

Yeye yupo kwa maslah ya wengine nadhani, pale ttcl kulikua na mchezo wa meneja kupokea mishahara miwili, mmoja analipwa na ttcl/serikali mwingine anaingiziwa na hizi kampuni shindani

Kifurushi cha bufee kiliwafanya hawa jamaa kujizolea mamia ya watu sasa hivi wamekiharibu kiukweli huyu meneja wa masoko hafai kabisa kuendelea kuwepo pale, anatumika kuua shirika.

Tukiendelea kuchekea huu upuuzi tutajuta siku moja tunapoteza mabilioni ya pesa kufufua mashirika kama haya halafu kikundi cha watu wachache kinaua shirika kwa mgongo wa nyuma kupitia hawa makanjanja wanaofanya kazi shirikani

Meneja masoko ttcl asimamishwe kazi, mkurugenzi naye abadilishwe, hili shirika bila hivyo linaenda kufa tena!
 
Siku hz ukinunua vocha ukiweka salio linakatwa.Mfano ukinunua vocha ya elfu 3 salio litasoma 2974 na points kadhaa.
Acheni wizi
 
Jaribuni kupunguza gharama za vifurushi maana havikamatiki katika mtandao wenu, ile kauli ya nyumbani kumenoga imekua haina maana tena mmetumia nguvu na gharama kuvuna wateja msishangae kuwa rahisi sisi wateja kurudu tulipotoka mboreshe gharama za vifurushi zishuke au muongeze ujazo wa vifurushi kwa gharama hizo hizo.

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Asante sana kwa ujumbe wako.
#RudiNyumbaniKumenoga
 
Bufee mmezingua 1mb kwa 2.5 tsh mmeenda mbali sana bora hata ingekuwa 2tsh kwa mb.
 
Inakuwaje njie ndio mnauzia wengine Internet kupitia mkongo wa Taifa lakini ndio muwe na mtandao usio aminika kuliko hao mnao wauzia?
Napendekeza; mtoe huduma ya kufungiwa internet mkianza na mjini, kwa kasi ya juu na sio kufunga nyumba sijui 100 kwa mwaka. Mnaweza kujumlisha na gharama zote za kufungiwa halafu mtu akatwe hadi atakapomaliza deni ndio aanze kulipia; Mkisubiri mdundulize hadi mpate hela ndio mfungie watu bure inafika karne ya 22 watu wengine hawajafikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…