Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtandao haupo hewani toka janaMB 1 ni Tsh 1.5
.Mkuu, timu ya wataalamu wanaendelea kulishughulikia tatizoMtandao haupo hewani toka jana
Ni dhahiri kabisa TTCL inahujumiwa meneja masoko TTCL achunguzwe ikibidi afukuzwe kazi!Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu maana ulipo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate msaada toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza.
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Zifuatazo ni ofisi zetu za huduma kwa wateja ndani ya jiji la Dar es Salaam.
1. POSTA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Samora, jengo la Extelecom ghorofa la Chini.
2. KARIAKOO
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Makamba/Msimbazi, jengo la Akamba Bus Service.
3. UPANGA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Magole/Maliki, karibu na Diamond Jubilee.
4. MAGOMENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Minaki/Fundiki, karibu na Manispaa ya Kinondoni.
5. KIJITONYAMA
[emoji654][emoji654][emoji654]Kijitonyama Sayansi, barabara ya Ali Hassan Mwinyi/ Rose Garden.
6. OYSTERBAY
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Haile Selassie.
7. UBUNGO
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Ubungo Plaza/ Ghorofa la chini.
8. MBEZI BEACH
[emoji654][emoji654][emoji654]Mbezi Makonde/ Jengo la Shamo Tower.
9. TABATA
[emoji654][emoji654][emoji654]Tabata Bima, barabara ya Segerea karibu na kanisa la Romani Katoliki.
10. CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
[emoji654][emoji654][emoji654]Jirani na tawi la benki ya NBC, jirani na kilipo kituo cha polisi cha UDSM.
11. BARABARA YA PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Mwalimu Nyerere, karibu na Sigara.
12. WAGENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Uwanja wa ndege.
13. PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Quality Centre, ghorofa la chini.
14. KISUTU
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Mchafukoge/Libya jengo la Haad Plaza.
15. TEGETA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Kibo Complex, ghorofa la chini.
16. MWANANYAMALA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Mwananyamala A, barabara ya Mwinjuma yalipo makutano ya Mwananyamala A.
17. KURASINI
[emoji654][emoji654][emoji654]Kurasini Exchange Area, jirani na Chuo cha Diplomasia.
Wasiliana nasi:
[emoji337]022 210 0100
[emoji390] 0738 151 511
[emoji273]www.ttcl.co.tz
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1529645
Karibu.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Asante sana kwa ujumbe wako.Jaribuni kupunguza gharama za vifurushi maana havikamatiki katika mtandao wenu, ile kauli ya nyumbani kumenoga imekua haina maana tena mmetumia nguvu na gharama kuvuna wateja msishangae kuwa rahisi sisi wateja kurudu tulipotoka mboreshe gharama za vifurushi zishuke au muongeze ujazo wa vifurushi kwa gharama hizo hizo.
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Asante sana kwa ujumbe wako.
#RudiNyumbaniKumenoga
Kumedoda huko nyumbani kwenu Harudi mtu tena Salimia Flugence Mayeye hapoAsante sana kwa ujumbe wako.
#RudiNyumbaniKumenoga
Hii Ahsante yako haisaidii kitu kama hakuna mnachokifanya kwa maoni ya wadauAsante sana kwa ujumbe wako.
#RudiNyumbaniKumenoga
kuanzia leo MB 1 ni Tshs 2.5 so uki-calculate kwa GB 1 ni Tshs 2560MB 1 ni Tsh 1.5
Hiyo ni kwa Bufee ya TTCL huko kwingine sijajua bado.kuanzia leo MB 1 ni Tshs 2.5 so uki-calculate kwa GB 1 ni Tshs 2560
sureHiyo ni kwa Bufee ya TTCL huko kwingine sijajua bado.
Hamia BurundiBufee mmezingua 1mb kwa 2.5 tsh mmeenda mbali sana bora hata ingekuwa 2tsh kwa mb.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimehamia kwenye ha tunnelHamia Burundi