TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Sina haja ya kulalamika sana niliitupa line aiseh kuna mda network inapotea kabisa
 
Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.

Kesho asubuhi alfajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
watu wa elimu bure hamjifichi mnajifichua haraka
 
Muhimu kwa Watumishi wote.
Endelea kufurahia huduma zetu.
Piga *148*30# kisha chagua ofa maalum.
# RudiNyumbaniKumenoga

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…