TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

hivi vifurushi vya data vya mb 40 wadau huwa mnavitumiaje hizi kwenye simu? Mimi nikiwasha tu data kinakwisha hapo hapo
 
Voda kwa buku jero napata dk 120,Gb 1 na sms kibao.hebu jaribun kuwa wabunifu halafu huu mtandao wenu kuna sehem network iko chini sana.
Ilibidi uweke na siku kinazodumu, pia hii ni yakwako tu kwahiyo sio kila mtu atapata kama wewe kwa bei hiyo, halafu wanaangalia speed yako kwenye kukitumia wakiona speed yako kubwa wanakupandishia bei
 
Anzisheni kifushi ambacho unaweza kutumia malipo yako kwa data au maongezi au kwa meseji utakavyo mpaka kiishe.

Mfano TANESCO umeme ukiununia hauainishwi kama ni wa kupikia, wa taa au wa a feni.
 
Voda kwa buku jero napata dk 120,Gb 1 na sms kibao.hebu jaribun kuwa wabunifu halafu huu mtandao wenu kuna sehem network iko chini sana.

Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana toka kampuni ya vodacom hii wewe unapata pengine ni kwa sababu si mtumiaji sana wa huu mtandao lakini nikuhakikishie kadri unavyozidi tumia ndipo ofa hii inapunguzwa na ndiyo maana kuna tofauti ya mteja na mteja kwangu mimi ofa yangu ni kuanzia elfu tatu sasa huu si ujinga?! Kama kweli wao wako vizuri waweke hicho kifuri wanachokupa kwa watu wote kiwe sawa. Nafurahi kasi ya upatikanaji wa mtandao wao ila ukweli ni kwamba vodacom huduma zao gharama sana na pia ni WEZI na MAJIZI makubwa tu.
 
Anzisheni kifushi ambacho unaweza kutumia malipo yako kwa data au maongezi au kwa meseji utakavyo mpaka kiishe.

Mfano TANESCO umeme ukiununia hauainishwi kama ni wa kupikia, wa taa au wa a feni.
Angali kifurushi cha Jiachie, kipo unlimited.
 
Mtandao wa kijinga ukiandika sms ndefu haiendi

Ukipiga simu buduma kwa wateja hawapokei

Sms kwenda mitandao mengine una resend hadi unasusa

Wanajua wazi hawana wateja wengi harafu wanakupa dakika kiduchu za kupiga mitandao yote

Ukinunua kifurushi kwa T pesa au kufanya muamala wa salio hawarudishi sms
 
Kwa hivyo vi mb's mnavyotoa wala hamjanishawishi kabisa ,maana siku hizi naweka vocha special kwa ajili ya bundle , sms na dakika sio ishu tena kwangu ,
 
Back
Top Bottom