TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Jamaa wamechezea Menu nzima aisee... Nmelala kwenye Menu yao npate kifurushi cha kutumia sioni. Sijui nani kwashauri utumbo. Kwa hali hii naeza enda futa hata huo usajili wao
line yao nilitupilia mbali baada ya kugundua wanatumia minara ya tigo
 
TTCL Corporation tunawatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid Al-Hajj
Furahia Sikukuu ukiwa na mtandao Bora, Nafuu na Salama.
 





Hizi bei zenu ziangalieni upya

Hali ya maisha mtaani mnaijua halafu mnajitoa

ufahamu as if mnaishi Mars.
 

Attachments

  • Adjustments.jpg
    62.7 KB · Views: 1
Kile kifurushi cha kupata 10GB kwa 1,000tzs kwanzia SAA 6 usiku-12Asubuhi mbona mmekiondoa?
Si hicho tu hata kile cha wiki kwa 2500 Gb 3 wamebadilisha mpka 3500 kwa Gb2.5 vifurushi vimekua vyakiboyaa ngoja niwahame uzur chip ninazo kama zote waki change huku mim na nahamia kule...
 
Kuna tatizo kwenye Tpesa nikituma pesa haifiki...baadaye inarudi Na Sasa inafail kabisa shida ni nini?
 
Salam kavu kavu mmetoa offer kwa wateja wenu

Ova
 
Nimerudi HALOTEL juzi tu mlivyopandisha bei wana kifurushi kizuri Sana 10,000 unapata 10 GB mwezi mzima... Ttcl miyeyusho tu tena bora mlivyopandisha bei wengine mmetusaidia kujua vifurushi vizuri zaidi mitandao mingine
 
Nadhan kifurush changu kikiisha naitia pending line yenu,bora nirud nyumban kabisa uku kumbe palikua ugenini nilidanganyika nimerud nyumban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…