sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
line yao nilitupilia mbali baada ya kugundua wanatumia minara ya tigoJamaa wamechezea Menu nzima aisee... Nmelala kwenye Menu yao npate kifurushi cha kutumia sioni. Sijui nani kwashauri utumbo. Kwa hali hii naeza enda futa hata huo usajili wao