TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Pole kwa changamoto, je unapata tatizo lipi unapotumia huduma za TTCL?
Internet haina kasi....
Mmeondoa vifurushi vya usiku..
Mmepandisha bei vifurushi...
Customer care service ni mbovu..
Hamutoi ufafanuzi mzuri zaidi ya majubu ya mkato...
..
na bado mtaendelea kurudia hayo makosa...
 
TTCL Customer Care
Kwenye menyu kuu na.6 kwenye Ofa Maalumu mlikuwa na kifurushi cha watumishi wa umma na raia wasiyo watumishi wa umma. Lakini kwa ghafla kimebaki cha watumishi waumma pekee! Haya mabadiliko mmezingatia nini?

Kingine makato yenu ya kutumia internet yapo tofauti na ya awali kwa maana; matumizi yangu kifurushi cha internet ni ya kawaida lakini MB zinaisha kwa haraka tofauti na awali. Hii ni nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…