TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Natumia ttcl almost mwaka wa pili sasa

Ila hii sasa imetosha hamna namna inabidi niachane nayo tu

Kwanza vifurusho mnapunguza kiholela tu hovyo hovyo tu

Kibaya zaidi mmeanza wizi wa kijinga na kipumbavu kabisa

Imekuwa mtu akiweka salio kabla hajajiunga kifurushi mnakata pesa fasta

Mnakata pesa kama 12 au 15 pesa ambayo kiuhalisia inakutia hasara kwa sababu huwezi kujiunga tena mpaka uongeze salio

Mmeluwa mkikata kwangu mpaka jana ilikuwa mara ya tatu nikiwapigia mnarudisha

Limtandao muda mwingi li-bovi na la hovyo.
Bora umenena
 
Mm Dhana yangu
Hapa tunaongea na ROBOT

Tusiweke matarajio ya aina yoyote katika maoni au malalamiko yetu juu ya Wahusika hawa(ROBOT)
 
Image may contain: 2 people

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea Banda la TTCL katika kilele Cha maadhimisho ya maonesho ya NaneNane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu na kufurahishwa na ubunifu uliofanywa na TTCL wa kuanzisha mfumo wa T- HAKIKI unaolenga kuwakomboa Wakulima kuhakiki ubora wa pembejeo kupitia simu ya mkononi.
ASANTE WAZIRI MKUU!

Image may contain: 12 people, people standing

TTCL yaibuka mshindi wa tatu wa jumla wa maonesho ya NaneNane Kitaifa na mshindi wa kwanza katika kipengele cha watoa huduma za Mawasiliano nchini.
Rudi Nyumbani Kumenoga!
#NaneNaneSimiyu

Image may contain: 2 people

Image may contain: 3 people


Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe.Elias John Kwandikwa akiangalia bidhaa zinazotolewa na TTCL alipotembelea Banda la TTCL katika maonesho yanayoendelea ya Wakulima (NaneNane) katika Viwanja vya Nyankabindi mkoani Simiyu.

Image may contain: 4 people
Image may contain: 1 person

Waziri wa Kilimo, Mhe. Japhet Hasunga amezindua huduma maalum ya kuhakiki pembejeo inayojulikana kwa jina la T-HAKIKI huduma itakayomwezesha mkulima kuhakiki ubora na matumizi sahihi ya pembejeo kupitia simu ya mkononi. Rudi Nyumbani Kumenoga!

Image may contain: 11 people

Image may contain: 7 people

Image may contain: 4 people, people sitting

Image may contain: 6 people, people standing


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea Banda la TTCL Corporation katika Maonesho ya Nane Nane Kitaifa, viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu.
#Rudinyumbanikumenoga
 
Back
Top Bottom