TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Mnafeli sana
1. Madukani hakuna vocha

2. Hamjitangazi au mnatumia mbinu za kizamani, hebu ona wenzenu tigo, voda airtel huwezi katiza mtaa bila kukutana na wakala aliyevaa tishet la mtandao wao.

3. Vifurushi vyenu havina amsha amsha kama hao wengine

4. Hakuna mawakala wa kutoa pesa mitaaani mmelala lala tu kwasbb mnajua kuna mshahara mwisho wa mwezi.


Ningekuwa na uwezo ningekuwa nawatumbua hadi kupatikane mtu sahihi
 
Kwenye miundo mbinu sawa. Kwa nini mnashindwa kupenya soko la mobile? Yaani alipo Vodacom, muwepo TTCL. Hapo nyumbani patakuwa pamenoga.

BTW unaweza pia kutupa mwenendo wa ukuaji wa wateja kulinganisha na makampuni mengine? Asante
 
Kwenye moundo mbinu sawa. Kwa nini mnashindwa kupenta soko la mobile? Yaani alipo Vodacom, muwepo TTCL. Hapo nyumbani pataliwa pamenoga.

BTW unaweza pia kutupa mwendendo wa ukuaji wa wateja kulinganisha na makampuni mengine? Asante
Yaani kuna mtu ni wa kutumbua mahali, hawa jamaa wana uwakika wa mshahara bila ubunifu zaidi hakuna sabb yeyote tigo na voda kuwapita
 
Asante kwa ushauri wako.
Nitaufikisha kwa menejementi.

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…