Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Karibu sana TTCL ndugu mteja.
#RudiNyumbaniKumenoga
Nilikuwa mteja hadi line yangu ilipopotea, hatua za kuifufua ni ndefu mno nikaamua kupiga chini tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana TTCL ndugu mteja.
#RudiNyumbaniKumenoga
Pole sana ndugu mteja. Tunaomba utufahamishe unapatikana wapi?Nilikuwa mteja hadi line yangu ilipopotea, hatua za kuifufua ni ndefu mno nikaamua kupiga chini tu.
Tunashukuru sana ndugu mteja.Hongereni sana TTCL
Pole sana ndugu mteja.
Tunaomba utufahamishe unapatikana wapi?
Atakufuata wakala hapo ulipo.Najua tu utanishauri nifike ofisini, hizo ndo nilishindwa... muda wenu wa kazi ndo muda wangu kazini.
Atakufuata wakala hapo ulipo.
Yaani kuna mtu ni wa kutumbua mahali, hawa jamaa wana uwakika wa mshahara bila ubunifu zaidi hakuna sabb yeyote tigo na voda kuwapitaKwenye moundo mbinu sawa. Kwa nini mnashindwa kupenta soko la mobile? Yaani alipo Vodacom, muwepo TTCL. Hapo nyumbani pataliwa pamenoga.
BTW unaweza pia kutupa mwendendo wa ukuaji wa wateja kulinganisha na makampuni mengine? Asante
Asante kwa ushauri wako.Mnafeli sana
1. Madukani hakuna vocha
2. Hamjitangazi au mnatumia mbinu za kizamani, hebu ona wenzenu tigo, voda airtel huwezi katiza mtaa bila kukutana na wakala aliyevaa tishet la mtandao wao.
3. Vifurushi vyenu havina amsha amsha kama hao wengine
4. Hakuna mawakala wa kutoa pesa mitaaani mmelala lala tu kwasbb mnajua kuna mshahara mwisho wa mwezi.
Ningekuwa na uwezo ningekuwa nawatumbua hadi kupatikane mtu sahihi
Karibu sana.Unasema!!!!
Basi nakuja PM chap na taarifa zote.[emoji1493][emoji1493][emoji1493]
Pole sana kwa usumbufu ndugu mteja.Nimenunua laini,nikiwasha simu inadai password. Ki ukweli inakera na ni usumbufu. Nawezaje kuondokana na hii adhabu?
Karibu sana.