Kaka unachuki binafsi, TTCL wanakupa Dk 100 ndanibyq 5 days kwa 1000 wakati tigo anakupa Dk 85 ndani ya 24hrs kwa 1000Mbao za Mawe njoo huku kuna kajamaa kaitwa alfatv wanaitetea kampuni yao ya TTCL wanasema ipo poa sana yaani imetulia.
Ina speed ya 15G kushinda kampuni yeypte hapa Afrika.
Jibu gani unataka, coz Mr Mtui anatumia TTCL na wanampa 1G kwa 2000, anafurahia tu
Kaka mtaalamu kwa hiyo kila Mnara unaujua wa operators gani??Hayo ndiyo maajabu ya ttcl,mie niko mjini,nikiwa home naona hadi minara yao, lkn youtube haifunguki,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Baharia wa Buza jenga hoja, kumbuka na ww umezaliwa na Mama. Kutukana Kinamama unamdhalilisha pia Mama yako, Dada zako, shangazi zako[emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhani wagonjwa wa kichocho
Unaweza kutupa historia ya Bwana Mohammed Dau?
Hujui kitu, nitafute nikupe DARASA kidogoNani mmiliki wa Titisielo
Kaka unachuki binafsiHahaha kudadeki zako[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wao wa Masomo ndio kitu gani???? andika vizuriHivi hawa ttcl hasa huyo mkuu wao wa masomo anasoma yanayoandikwa hapa mbona hawajibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao za Mawe njoo huku kuna kajamaa kaitwa alfatv wanaitetea kampuni yao ya TTCL wanasema ipo poa sana yaani imetulia.
Ina speed ya 15G kushinda kampuni yeypte hapa Afrika.
Halotel wanatoa kwa Tsh 1500
Mkuu sina chukiKaka unachuki binafsi, TTCL wanakupa Dk 100 ndanibyq 5 days kwa 1000 wakati tigo anakupa Dk 85 ndani ya 24hrs kwa 1000
Kaka kuwa fair,
Wewe unalipwa bei gani kuitetea TTCL?Kaka naona uko kwenye payroll ya other operators, unalipwa bei gani>>??
Uzuri ni kwamba Halotel wapo speed kushinda nyie TTCMakili za kizwazwa sana
TTCL wanatoa 10GB kwa 1000
Halotel wanatoa 10GB kwa 1500
Nani zaidi???
HalotelNyaku Unahangaika kujibu misukule, mie natumia bando tamtam, GB 1, Dak 5 mitandao yote, SMS 100 siku 7...mtandao gani uko na kifurushi cha aina hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo umejibu kimahaba tu,Uzuri ni kwamba Halotel wapo speed kushinda nyie TTCM
Mimi mzalendo kaka, hizo ni changamoto tu ambapo zinafanyiwa kazi na wahusika.Wewe unalipwa bei gani kuitetea TTCL?