TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Unalipwa kiasi gani??? wenzako tunatumia TTCL tunaenjoy sana kwa taarifa yako kwa 1000 napata Dk 100 for five days, ww endelea na majungu yako ndio maana unenepi


Mbao za Mawe njoo huku kuna kajamaa kaitwa alfatv wanaitetea kampuni yao ya TTCL wanasema ipo poa sana yaani imetulia.
Ina speed ya 15G kushinda kampuni yeypte hapa Afrika.
 
Kaka unachuki binafsi, TTCL wanakupa Dk 100 ndanibyq 5 days kwa 1000 wakati tigo anakupa Dk 85 ndani ya 24hrs kwa 1000

Kaka kuwa fair,
Mkuu sina chuki
Lakini jaribu kujiuliza hizo dakika 100 zote za nini?
Why msiongeze MBs maana siku hizi hatabbaadhi wa watu wanawasiliana kwa kupigiana simu kupitia WhatsApp
 
Back
Top Bottom