TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Samahani, mmeandika wiki ni siku tano, je ni typing error au mmemanisha?
 
Kwa nini wiki iwe na aiku 5? Hiyo kalenda ni ya wapi?
 
Vifurushi vyenu kwa mwezi vipoje?

Coverage yenu ya 4G ipoje kwa jiji la Dar? Baadhi ya vitongoji au Dar yote?
 
Kwa nini nikiwasha data kama natumia line yenu inaweza kuchukua hata masaa mawili kuconnect mbinu mnazidiwa mpaka na halotel watoto wa juzi

Tatizo liko wapi kwenye huduma za serikali hii ya CCM habu eti fukiria nyie ndio mnategemewa mshindane kwenye soko moja na Voda, Airtel, na tigo

Huduma yenu labda muwashinikize wafungwa na misukule kule gamboshi ndio watakaoweza kuitumia ila kwa sisi kwenye akili zetu


#Mtasubiri sana
#Tena sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…