TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Samahani, mmeandika wiki ni siku tano, je ni typing error au mmemanisha?
 
JISOTI #kutokanyumbani TTCL Corporation
Piga *148*30#
Chagua namba 6 Ofa Maalum
Halafu no2 jisoti chagua Gb au Dk mitandao yote
#RudiNyumbaniKumenoga



Image may contain: 1 person, standing









Image may contain: text that says '4G LIE TTCι Corporation Data Siku 3 Siku 5 Siku Jisoti Ofa 3GB: kila siku 1GB 5GB: kila siku 1GB Gharama 3,000.00 5,000.00 Bonasi 300MB 500MB Gharama 1,000.00 2,000.00 Bonasi 10 Dk 30 Dk Dakika Siku Ofa 3 Siku 60 Dk: kila siku 20 Dk Siku 125 Dk: kila siku 25 Dk Vigezo na Masharti Mteja hawezi kujiunga zaidi ya mara moja kwa kifurushi kimoja. Mteja atapewa Kiwango cha ujazo kama ilivyoonyeshwa kwenye jedwali. Huduma hii inapatikana kwa wateja wa malipo ya kabla tu. ttcl corporation Kujiunga Piga *148*30# kisha Chagua Ofa Maalum Rudi Nyumbani Kumenoga'







Image may contain: 1 person, text that says '4G LTE TTCι Corporation Jisoti Kujiunga Piga * 48* 30# kisha Chagua Ofa Maalum Kwa maelezo zaidi piga 00 0222 100 100 autembelea www.ttcl. I.co.tz ttcl_corporation Rudi Nyumbani Kumenoga'
 
Vifurushi vyenu kwa mwezi vipoje?

Coverage yenu ya 4G ipoje kwa jiji la Dar? Baadhi ya vitongoji au Dar yote?
 
Kwa nini nikiwasha data kama natumia line yenu inaweza kuchukua hata masaa mawili kuconnect mbinu mnazidiwa mpaka na halotel watoto wa juzi

Tatizo liko wapi kwenye huduma za serikali hii ya CCM habu eti fukiria nyie ndio mnategemewa mshindane kwenye soko moja na Voda, Airtel, na tigo

Huduma yenu labda muwashinikize wafungwa na misukule kule gamboshi ndio watakaoweza kuitumia ila kwa sisi kwenye akili zetu


#Mtasubiri sana
#Tena sana
 
Back
Top Bottom