TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Mimi Sina hamu na nyie. Kwanza vocha zenu zinasumbua kupatikana nikaamua kujiongeza Nika recharge tpesa ili niwe nanunulia huko....
Matokeo yake ile hela kwenye tpesa siwezi kuifanyia chochote iwe Ni kununua kufurushi ama kuituma.... Kama sio uwizi Ni nn....
 
Tunaomba kujua changamoto unayoipata pindi utumiapo huduma zetu za TTCL kwa msaada zaidi.
Ahsante
Mimi nasubiri changamoto yangu niliyokwisha kueleza na mwenyewe ukaibonyezea kitufe cha thanks!
===
Ushauri, jitahidi kutembelea uzi wenu huu mara kwa mara, mtaepusha malalamiko yasiyo ya lazima.
 
Mimi nilijiunga kifurushi cha bila kikomo cha 1500 tena dk zilikuwa nyingi lakn siku mbili hata sijatumia naambiwa sina salio mpaka leo lain yangu ipo mfukoni sijui mnakwama wapi
 
Ongea, Peruzi na chati bila kikomo na Jiachie bando

# RudiNyumbaniKumenoga

View attachment 1710124
Kuna wakati nafikiria itakuwa sahihi hili shirika likafumuliwa na kuundwa upya.

Hamjastahili kuitwa TTCL kwa namna huduma zenu zilivyo low quality. Pia mnashindana na mashirika binafsi kutukamua Watanzania.

Ki ukweli nimekuwa enthusiast wenu kwa muda mrefu lakini ikabidi kwa shingo upande niachane nanyi kwa sababu nyingi ikiwemo kukwapuliwa bando zangu na kila nikija customer care kazi yao ni kunisajilia line mpya. Pia ninaishi Dar lakini eneo nilipo huduma za TTCL ni shida kupata. Cha kufia nini?

Bora tuwalipe makampuni binafsi huku tukijua wanatuibia lakini at least wanalipa kodi.

Hapa juzi Airtel ndo imekuwa kampuni ya mwisho kupandisha gharama za bundle. Wote mmepandisha kimya kimya.

TTCL mjitafakari kama mnakidhi matarajio ya Waranzania. Msitumie kodi zetu kufanyia promotion huduma ambazo hazina uhakika.

Jipangeni, fanyeni tafiti, mjirekebishe kisha mtualike. Tumechoka majaribio
 
Hivi nyie jamaa market maneger wenu ni nani,dakika 100 ttcl 2ttcl nampigia nani mkuu wa mkoa au tamisemi kila siku wateja wanawakimbi
1.vocha shida
2.hakuna watu wa kuwapigia
3.mtandao uko nyuma na slow kama mgongo
4.hamna bonus wala cha kuwavutia wateja tunafahamu internet ni free hivi 400 mb nazifanyia nn badilikeni tokeni huyo market manager niwekeni mimi wiki mbili nawapa disha level za simba mmezidi ubunifu sifuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…