Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Here we go. We jamaa huna tofauti na kisandu a.k.a don namilison
Ni kweli tumeviondoa baada ya kukifanyia tathmini ya uhakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli tumeviondoa baada ya kukifanyia tathmini ya uhakika
+1Nadhan kifurush changu kikiisha naitia pending line yenu,bora nirud nyumban kabisa uku kumbe palikua ugenini nilidanganyika nimerud nyumban
Nitafikisha malalamiko yenu kwenye ofisi yao.Here we go. We jamaa huna tofauti na kisandu a.k.a don namilison
Upo sehemu gani?Hamna mtandao hapa tandao alisomi kabisa
Kuna tatizo kwenye Tpesa nikituma pesa haifiki...baadaye inarudi Na Sasa inafail kabisa shida ni nini?
TTCL Corporation tunawatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid Al-Hajj
Furahia Sikukuu ukiwa na mtandao Bora, Nafuu na Salama.View attachment 1522469
Wamezingua big timeToboa night jamani nyie mbuzi
Tatizo kubwa upande wangu nanunua bando nikiwasha Data sipati chochote kutoka kwenye Internet wakati Gb Simon za kutosha nimefanya Settings zote vizuri lakini hakuna matokeo yake unatumiwa sms kua kifurushi kime kwisha wakati sijapata hata sms moja kutoka WhatsApp wala video au audio yenye uwezo wa mb 10 kutoka mtandaoniNipo DAR, Kawe Beach upeponi, sms zenu ni kero, mna support less than 160 characters
Mkuu, namba yako tafadhaliTatizo kubwa upande wangu nanunua bando nikiwasha Data sipati chochote kutoka kwenye Internet wakati Gb Simon za kutosha nimefanya Settings zote vizuri lakini hakuna matokeo yake unatumiwa sms kua kifurushi kime kwisha wakati sijapata hata sms moja kutoka WhatsApp wala video au audio yenye uwezo wa mb 10 kutoka mtandaoni
Mimi nipo Gongo la Mboto
0736754242Mkuu, namba yako tafadhali