TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

kwa mwendo hhuuu
Screenshot_20200804-142049.jpg
 
Mboreshe na hili la MB ilikununua kifurushi kingine salio libaki Mb 50, ndipo unaweza kuongeza mb zingine. Wafanye kama Halotel unaweza kuongeza MB hata kama salio la mb ni 3Gb utaongeza tu.
 
Mimi naomba ufafanuzi wa hiki kifurushi cha Jiachie ambacho unapata Mb 500 kwa 1000 bila kikomo,sijakielewa.
 
Back
Top Bottom