TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

nilnunua modem mnaita dongo haijawahi kukubali kutumika nilipoenda kwenye ofis nilipo inunua wakadai pc yangu inashida ajabu nikuwa nimejaribu kuitumia ktk vifaa tofauti tofauti hakuna kitu sijui tatizo ninini elfu hamsini yangu iliniuma,
hadi leo nikipita pale ofisini nashikwa na ghadhabu kinyamaaa .
 
Habari yako mkuu, una siku ngapi tangu uinunue hiyo modem?
 
TTCL jiandaeni kisaikolojia yani vifurushi vyenu sasa hivi vipo juu kuliko mitandao yote,shida nyingine mtandao wenu hauna nguvu kama mitandao mingine,kuna baadhi ya maeneo ukienda au ukiwa njiani unasafiri ni sehem chache sana ambao mtandao wenu unashika tofauti na mitandao mingine....tuliwavumilia kwa sababu mlikua na unafuu wa vifurushi lkn navyo mmebadilisha tena,kama kuna uwezekano niambieni line yenu niwetee wapi sihitaji tena kutumia mtandao wenu
Seen
 
Back
Top Bottom