tumasa
Senior Member
- Dec 1, 2021
- 161
- 195
TTCL rekebisheni hili tatizo la mtandao wenu kupatikana katikati ya miji tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TTCL rekebisheni hili tatizo la mtandao wenu kupatikana katikati ya miji tu.
Ndo vzrMtandao siyo tatizo tatizo intanet mpaka usiku tena saa 6 usiku shida ipo wapi. Au tatizo simu yangu.
Mkuu wamekuungia? Na mimi nahitaji huduma ya internet ya mkongo.Tumeomba kuunganishiwa huduma ya internet tokea mwezi wa 08 mwaka jana hadi leo hatujafanikiwa kuungiwa , shida ni nn
Kuna FIBER na CABLE, unataka ipi?Mkuu wamekuungia? Na mimi nahitaji huduma ya internet ya mkongo.
Ipi iko vizuri kwa speed?Kuna FIBER na CABLE, unataka ipi?
Fiber isikie tu but ni gharama[emoji3064]Ipi iko vizuri kwa speed?
SawaFiber isikie tu but ni gharama[emoji3064]
Wao ndio wao[emoji1787]Yaani nyiee
Nilikuwa nikiweka 10,000 napata 7+GB wamepunguza 1+GBWao ndio wao[emoji1787]
Kupoje mkuuKwny dakika ndio balaa
Hiyo halo ipo kite kasoro voda unapata kwa buku mbili.1 Mb ilikua sh 1.3 sasa hivi imepanda na kua sh 1.5[emoji855]
Tabata Kimanga (Dsm), eneo la maji chumvi na shule ya msingi kusukuru miaka mingi hakuna huduma ya internet
Hakuna mtandao hapa..., HOVYO KABISA.Kupoje mkuu