Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
- Thread starter
- #21
Bora libinafsishwe tuNilijaza fomu ttcl mwanzo wa mwaka huu mpaka leo sijawahi kuwaona
Kila nikienda naambiwa atakuja saveya
Hili shirika hakuna kazi wanafanya zaidi ya kututia hasara.